SIMULIZI: đź“–: Mtu Tajiri wa Babeli Lugha: Kiswahili Kurasa: 147 Fomat: PDF MAUDHUI: Elimu, Kanuni na Miongozo thabiti ya mafanikio ya kifedha na Maisha kwa kutumia simulizi za kweli za kusisimua zilizothibiti katika mji tajiri zaidi kutokea duniani, mji wa Babeli (Babylon),mji ambao ulikuwa na idadi kubwa ya matajiri kuliko mji wowote ule zaidi ya miaka 5000 iliyopita. Miongozo na kanuni ambazo mpaka leo hii zinatumiwa na matajiri pamoja na taasisi za kifedha kama vile mabenki, Bima na Taasisi za ukopeshaji fedha katika kujipatia, kujiongezea na kuhifadhi mali na fedha. Ni kitabu kinachotoa miongozo na kanuni za uwekaji akiba, uwekezaji wa kibiashara,njia za kujikwamua na mikopo, njia za kudhibiti utapeli, njia za kupambana na changamoto za utafutaji fedha, njia za kujikwamua na umaskini na kuelekea kwenye utajiri, Taaluma na ulaghai wa kamari (betting) na mengine mengi. 1 * MTU TAJIRI ZAIDI NDANI YA BABELI Katika mji wa kale wa Babeli aliishi b...
BIASHARA ya KUOSHA MAGARI/CAR WASH (Mwongozo) đź“–Tumekuwa tukiosha magari sehemu mbali mbali bila kupiga hesabu tumelipa kiasi gani na kukadiria iwapo mtoa huduma ameosha magari kumi kwa siku atakuwa amepata kiasi gani. 📌Chukua kwa mfano kuosha gari ni shilingi 5,000 -7,000, hivyo ukiosha magari kumi kwa siku unaweza ukapata shilingi 50,000-70,000 kwa siku kabla ya kuondoa gharama za kuosha magari. 📍 Biashara hii inahitaji usimamizi wa karibu zaidi. Ukiweza kuisimamia vizuri ni biashara yenye faida kubwa hasa ukiweza kuiweka sehemu ambayo watu wanapumzika kwa ajili ya kula au kunywa vinywaji. đź—ť️Biashara ya uoshaji wa magari maarufu kama “car wash” ni biashara ambayo mahitaji yake hutegemea unataka uanzishe biashara ya ukubwa gani. Kwa mfano kuna, ✅ Carwash ndogondogo za hali ya chini kabisa, ✅ Car wash za kati na ✅ Car wash kubwa za hali ya juu(full car engine and body washing) 📌Tukiacha Car wash za hal...
1. Set goals/objectives 2. Recognition 3. Listen the workers 4. Incetives (pay them well) 5.Care about their future 6. Create Good Culture This is an assignment tips for HDMPR level 7 (II) Stay tune for second question's tips
Good job
ReplyDeleteWe appreciate
ReplyDeleteAppreciated
ReplyDelete