BEST BUSINESS IN TANZANIA - BUSINESS TYPES ( JIFUNZE AINA ZA BIASHARA AMBAZO UNAWEZA FANYA AU UTAKUJA KUFANYA APO BAADAE)

Pass through 150 type of business that can conducted in Tanzania


1. Kununua Mashine za kukoroga zege na

kukodisha.

2. Kununua Mashine za kukata vyuma na

kuzikodisha.

3. Kutengeneza na kuuza tofali

4. Ufundi, Website updating/Database: Katika

Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya

na Makampuni mbalimbali.

5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni

6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya

electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na

vifaa vya compyuta na mawasiliano.

7. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating

Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k

8. Kushona na kuuza nguo.

9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks,

batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,

10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondo,


<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


Mbuzi, Ngombe, Kuku, Bata, na wengine.

11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na

vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.

12. Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.

13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza

popcorn na kuziuza.

14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha

15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta

na zinazotumia mafuta

16. Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na

hali ya hewa ya sehemu husika.

17. Kuuza Mitumba

18. Kusimamia miradi mbalimbali

19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali

20. Kufungua banda la chakula na chips


<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


21. Kukodisha turubai viti na meza

22. Kufungua Supermarket

23. Kufungua Saluni

24. Kufungua Bucha

25. Video Shooting & Editing.

26. Kufungua Internet cafe

27. Duka la kuuza matunda

28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za

mkononi na landline.

29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa

vya umeme, duka la mabati

30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na

miradi ya ICT


<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k

32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building

contractor)

33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua

(solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya

solar n.k

34. Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.

35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.

36. Kukodisha Music

37. Kuanzisha Mradi wa Taxi

38. Kuanzisha mradi wa Daladala

39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters,

HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa

vingine.

40. Kununua magenerator na kukodisha

41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu

42. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za

internet (ISP)

43. Kuuza mabati na vigae

44. Kujenga apartments

45. Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au

mafuta ya aina zote

46. Kufungua Duka la samaki

47. Kufungua Duka la nafaka

48. Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi,

Sekondari na Vyuo.

49. Kujenga hostel

50. Kuuza vocha na vingamuzi vya DStv, Zuku,

<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.

51. Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na

kuuza katika viwanda na wananchi.

52. Ufundi simu

53. Kufungua Hospitali, Zahanati.

54. Maabara ya Macho, Meno

55. Kuchimba/Kuuza Madini

56. Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na

fax

57. Kuuza miti na mbao

58. Kufungua Grocery, bar

59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha

60. Kucharge simu/battery

61. Duka la TV na vifaa vingine

62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika

sherehe na tamasha mbalimbali (catering).

63. Banda la kupigisha simu

64. Kuuza na kushona Uniform za shule

65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.

66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na

magari

67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe

68. Kuuza fanicha

69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi

ya magari na mitambo.

70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)

71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.

72. Kuuza vioo

73. Kushona na kukodisha nguo za harusi

74. Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari

75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding

machine).

76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)

77. Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha

wanafunzi


<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya

redio na televisheni

79. Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV

Games)

80. Kufungua benki

81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga

82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k

83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali

84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na

winchi (crane)

85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.

86. Biashara ya kuosha Magari

87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali

zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom,

TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.

88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe,

mikutano mbalimbali

89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa

barabara na kukodisha

90. Kutengeneza antenna na kuuza

91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha,

kutoboa na kuchana mbao

92. Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme

wa kutumia upepo

93. Biashara ya kuagiza magari

94. Kufanya biashara za Jukebox

95. Biashara ya Kukodisha matenki ya maji

96. Kufungua duka la kuuza Asali

97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha

98. Kufungua Duka la vinyago, batiki

99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA,

TIGOPESA, EZY PESA


<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


100. Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi

(Gym).

101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.

102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).

103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi

104. Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding"

105. Kuchezesha vikaragosi

106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki

107. Kuuza baiskeli

108. Kuuza magodoro

109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi

ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe,

vijiko,

110. Kuuza marumaru (limestones)

111. Kuuza kokoto

112. Kuuza mchanga

113. Kufundisha Tuisheni

114. Biashara za bima

115. Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya

anga (ndege)

116. Biashara za kitalii

117. Biashara za meli na maboti.

118. Kampuni ya kuchimba visima

119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa

kujitegemea

120. Kuuza mkaa

121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali

122. Kampuni ya kupima ardhi

123. Kampuni ya magazeti

124. Kuchapa (printing) magazeti

125. Kuuza magazeti

126. Kampuni ya Kuchimba mafuta

127. Kiwanda cha kutengeneza mabati

128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha

129. Kiwanda cha kutengeneza matairi

130. Kutengeneza vitanda vya chuma

<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"

     crossorigin="anonymous"></script>


131. Biashara ya Kununua nyumba katika Maghorofa

(Apartments) na kuzikodisha.

132. Kukodisha makapeti

133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.

134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.

135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.

136. Kuuza Gypsum

137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo

138. Duka la kuuza mboga za majani

139. Duka la kuuza maua.

140. Kampuni ya kuzoa takataka

141. Kampuni ya kuuza magari

142. Kampuni ya Kuuza viwanja

143. Uvuvi

144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi

145. Uchoraji wa mabango.

146. Duka la kuuza silaha

147. Ukumbi wa kuonyesha mpira

148. Biashara ya mlm (network marketing)

149. Biashara ya Yadi kwa ajili ya kupaki magari

150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo



Comments

Popular posts from this blog

RICHEST PERSON IN BABEL (SWAHILI VERSION)

CAR WASH BUSINESS ( BIASHARA YA KUOSHA MAGARI)