RICHEST PERSON IN BABEL (SWAHILI VERSION)
SIMULIZI: đź“–: Mtu Tajiri wa Babeli Lugha: Kiswahili Kurasa: 147 Fomat: PDF MAUDHUI: Elimu, Kanuni na Miongozo thabiti ya mafanikio ya kifedha na Maisha kwa kutumia simulizi za kweli za kusisimua zilizothibiti katika mji tajiri zaidi kutokea duniani, mji wa Babeli (Babylon),mji ambao ulikuwa na idadi kubwa ya matajiri kuliko mji wowote ule zaidi ya miaka 5000 iliyopita. Miongozo na kanuni ambazo mpaka leo hii zinatumiwa na matajiri pamoja na taasisi za kifedha kama vile mabenki, Bima na Taasisi za ukopeshaji fedha katika kujipatia, kujiongezea na kuhifadhi mali na fedha. Ni kitabu kinachotoa miongozo na kanuni za uwekaji akiba, uwekezaji wa kibiashara,njia za kujikwamua na mikopo, njia za kudhibiti utapeli, njia za kupambana na changamoto za utafutaji fedha, njia za kujikwamua na umaskini na kuelekea kwenye utajiri, Taaluma na ulaghai wa kamari (betting) na mengine mengi. 1 * MTU TAJIRI ZAIDI NDANI YA BABELI Katika mji wa kale wa Babeli aliishi b...
✌️
ReplyDelete