Posts

UDERSTAND SOCIAL MEDIA MARKETING

Image
UNDERSTAND SOCIAL MEDIA MARKETING  If marketing is about putting your message where your audience hangs out (which it is), then social media is a no brainer.  That said, many businesses fail to fully leverage social media in their marketing plans. They dabble, sure, but their strategic efforts end with content and advertising.  Today, 79% of Africans internet users are on Facebook. Six out of ten Africans stay updated on news through social media, while 35% have used social media to look for or research a job.  And these same numbers are reflected worldwide. Is it any wonder marketers are going social to grow their business? Trouble is that “going social” isn’t as easy as it looks. There’s a lot more to social media marketing than simply posting to Facebook and Twitter.  In this chapter, we cover the basics of a successful social media program, including methods and metrics, the business roles that should own your social media marketing, and the lingo you’ll use...

Majina waliochaguliwa sensa 2022

CAR WASH BUSINESS ( BIASHARA YA KUOSHA MAGARI)

BIASHARA ya KUOSHA MAGARI/CAR WASH (Mwongozo)    ๐Ÿ“–Tumekuwa tukiosha magari sehemu mbali mbali bila kupiga hesabu tumelipa kiasi gani na kukadiria iwapo mtoa huduma ameosha magari kumi kwa siku atakuwa amepata kiasi gani.  ๐Ÿ“ŒChukua kwa mfano kuosha gari ni shilingi 5,000 -7,000, hivyo ukiosha magari kumi kwa siku unaweza ukapata shilingi 50,000-70,000 kwa siku kabla ya kuondoa gharama za kuosha magari.   ๐Ÿ“ Biashara hii inahitaji usimamizi wa karibu zaidi. Ukiweza kuisimamia vizuri ni biashara yenye faida kubwa hasa ukiweza kuiweka sehemu ambayo watu wanapumzika kwa ajili ya kula au kunywa vinywaji.   ๐Ÿ—️Biashara ya uoshaji wa magari maarufu kama “car wash” ni biashara ambayo mahitaji yake hutegemea unataka uanzishe biashara ya ukubwa gani. Kwa mfano kuna,  ✅ Carwash ndogondogo za hali ya chini kabisa,  ✅ Car wash za kati na  ✅ Car wash kubwa za hali ya juu(full car engine and body washing)   ๐Ÿ“ŒTukiacha Car wash za hal...

BIASHARA YA MTUMBA. (WATOTO)

BIASHARA YA NGUO ZA MITUMBA ZA WATOTO (Mwongozo)   Hii biashara ina faida sana ila kama ilivyo kwa biashara zote uchaguzi wa Eneo ni muhimu,lakini pia hata bila kuwa na eneo ili mradi ukipata mawasiliano na watu unaolenga kuwafanya wateja wako na kuweza kuwaletea nguo za watoto quality kulingana na mahitaji yao basi waweza ukamudu soko la mitumba ya watoto.   ๐Ÿ—️Nguo za watoto miaka 0-4, zitakutoa hasa wa kiume, bukta za jeans, vigauni ya wakike pia vinalipa, kumbuka watoto huvalishwa nguo zaidi ya nne kwa siku, hujikojolea kujichafua kwahiyo wanahitaji nguo nyingi kuliko rika lingine.   ๐Ÿ—️NGUO za watoto utakayo muuzia MWANAUME ni bei ya juu kuliko MWANAMKE sababu ni kwa kuwa wanaume wengi hawajui bei za nguo kama akina mama.   ๐ŸšฉPia NGUO ZA WANAWAKE HASA WADADA ZINALIPA kumbuka wanaume hawana tabia za kununua nguo kama wanawake.   ๐Ÿ—️(Bale)Robota moja la nguo za watoto lina nguo 300 au 400 na kuendelea linauzwa GRADE Three 220,000/= G...

RICHEST PERSON IN BABEL (SWAHILI VERSION)

SIMULIZI: ๐Ÿ“–: Mtu Tajiri wa Babeli Lugha: Kiswahili Kurasa: 147 Fomat: PDF MAUDHUI: Elimu, Kanuni na Miongozo thabiti ya mafanikio ya kifedha na Maisha kwa kutumia simulizi za kweli za kusisimua zilizothibiti katika mji tajiri zaidi kutokea duniani, mji wa Babeli (Babylon),mji ambao ulikuwa na idadi kubwa ya matajiri kuliko mji wowote ule zaidi ya miaka 5000 iliyopita. Miongozo na kanuni ambazo mpaka leo hii zinatumiwa na matajiri pamoja na taasisi za kifedha kama vile mabenki, Bima na Taasisi za ukopeshaji fedha katika kujipatia, kujiongezea na kuhifadhi mali na fedha. Ni kitabu kinachotoa miongozo na kanuni za uwekaji akiba, uwekezaji wa kibiashara,njia za kujikwamua na mikopo, njia za kudhibiti utapeli, njia za kupambana na changamoto za utafutaji fedha, njia za kujikwamua na umaskini na kuelekea kwenye utajiri, Taaluma na ulaghai wa kamari (betting) na mengine mengi. 1 * MTU TAJIRI ZAIDI NDANI YA BABELI Katika mji wa kale wa Babeli aliishi b...

WHAT CONSTITUES A GOOD MARKETING RESEARCH

Image
       To address this question You have to think out of box and beyond a characteristics of Good Marketing research.        Good research recognizes the value of using numerous methods and sources to achieve reliable information. Marketing researchers inhibited away from over-reliance on any one method. Think about this stages. In Details <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"      crossorigin="anonymous"></script> <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"      crossorigin="anonymous"></script> Think first on stages when you assigned on what constitites a good Marketing research. And not characteristics. T H A N K       Y O U CONTACT ME THROUGH Email- lalikadickson225@gmail.com Phone number - 0742011685.

RESEARCH PHILOPHIES AND THE RSEARCH APPROACHES THAT THEY EMBRACE

Image
        There are many research philosophies but in Marketing Research we have Four main research philophies that originated from three school of thought such as: 1. ONTOLOGY 2. EPISTEMOLOGY 3. AXIOLOGY  So the research philophies as Follows,  1. Postivisim 2. Realism 3. Interpretivism 4. Pragmatism Lets evaluate all philophies in details. POSITIVISIM REALISM <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"      crossorigin="anonymous"></script> INTERPRETIVISM  <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-7857599688071244"      crossorigin="anonymous"></script> PRAGMATISM APPROACHES THAT EMBRACE THE ABOVE PHILOPHIES ARE:- 1. DEDUCTIVE  APPROACH 2. INDEDUCTIVE  APPROACH   THANKS FOR CARING๐Ÿ’™๐Ÿ’™ N.B. To score a good marks depends on your assignment arrangement make sur...